Nahitaji mke

big meat,
Elimu Kidato cha sita......................kijana rudi chuo ujulikane una taaluma gani, wanaume hatuzeeki ila kuoa wakati bado hujaweza kusimama kama mwanaume unakwenda kuwa na familia farakanishi
 
Mwanamke naefaa kuoa ni katika hao waliokuzunguka, kwa mfano uliosoma nao, uliocheza nao pamoja unaoishi nao mtaa mmoja au kufanya nae kazi, au utafutiwe na mtu anaewajueni vizuri ninyi wawili, unapofikiria mke fikiria familia ya muda mrefu.
 
Well noted. But vipi kama maisha hayakupitisha huko au yalikupitisha kwa namna ambayo hukuweza kuwafikiria hao viumbe.
Mwanamke naefaa kuoa ni katika hao waliokuzunguka, kwa mfano uliosoma nao, uliocheza nao pamoja unaoishi nao mtaa mmoja au kufanya nae kazi, au utafutiwe na mtu anaewajueni vizuri ninyi wawili, unapofikiria mke fikiria familia ya muda mrefu.
 
una uhakika siwezi kusimama kama mwanaume kijana? Baba yako, babu yako, babu mzaa babu yako wote walifika chuo? unadhani ukifika chuo ndo unakuwa mume bora? Jitafakari halafu ujipe majibu
Sasa utatafutaje mke kwenye mitandao? ufungamani na watu hata kuimba kwaya, kwenda DISCO, matamasha?
 
nani alikwambia hcho ndo kitu muhimu kwa mke? Ukiumwa tako ndo litakuliwaza? kuwa na heshima kwa wanawake, na msichana akishaona hcho ndo kigezo muhimu atambue kamwe hatopata mume bora
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…