bonjour wana jf ! umri wangu ni miaka 32 ni mfanyabiashara naishi singida, Elimu yangu ni chuo. nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo ili awe mke wangu ! awe mcha mungu dini yoyote,awe na umri wa kuanzia miaka 20 hadi miaka 30 asiwe mnene sana , Mwenye uhitaji aje PM.