Davidchief mkanza
Member
- Sep 6, 2016
- 5
- 2
Wewe utanifaa sana njo PM tuyajenge plzNina 37 huwezi kunifikilia?
Kila la heri BossHabar wanajf...,
Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar..
Sifa zangu ;
-Umri 28
-Elimu: degree
-Kazi:Self employed
Sifa za mke
-awe na umri 22-28
-Awe na kazi rasmi
-Awe amemaliza kula ujana
Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa