Walisamaki
Senior Member
- Nov 28, 2022
- 199
- 324
🤣🤣🤣 kwa mwanamume huo umri bado anatamba wewe acha aringeMuwe mnajieleza vizuri ....umri ukutupe na kujieleza ujieleze kwa maringo🙋
Una hasira sana mtu wangu.Muwe mnajieleza vizuri ....umri ukutupe na kujieleza ujieleze kwa maringo[emoji137]
Kwanini lakini😂😂😂Muwe mnajieleza vizuri ....umri ukutupe na kujieleza ujieleze kwa maringo🙋
😅😅Watamalizana huko PM Cha umuhimu show kali athibitishe uanaume wake + hayo mengine,atachelewa akisubiri hivyo vigezo vingineTo yeye anataka zile pigo za mpaka mtu ajielezee sijui ana degree mara ana kazi mara ana nyumba na gari. Hayo mengine itajulikana akizama PM kwa kidume 🤣🤣🤣
Kama hajafanya chura kuwa ni kigezo kimojawapo asije kulaumu baadae kuwa mke wangu amepoteza mvuto.Chura siyo kigezo?
🤣🤣🤣 hilo ndo la muhimu😅😅Watamalizana huko PM Cha umuhimu show kali athibitishe uanaume wake + hayo mengine,atachelewa akisubiri hivyo vigezo vingine
Si ndio hapoMuwe mnajieleza vizuri ....umri ukutupe na kujieleza ujieleze kwa maringo🙋
🙀nimestaajabu aiseeSi ndio hapo
Mbaba wa miaka 36 analeta uzi wenye mwandiko wa la saba C