Nahitaji mke

Paundwe Wizara ya Ubunifu vijana wapewe maarifa mapya ya kujiajiri vinginevyo vijana wanaishia kutafuta madanga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbavu zangu daa
 
Nimekosea wengine siyo wazoefu jf sory nimekosea sio kwa mapovu haya
 
Kuna thread mdau aliileta humu

"Alishauri ukitaka mke nenda kwa MWAMPOSA pale Kawe maana kuna wadada wengi tuu nao wanatafuta Wenza unaweza kupata huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…