Nahitaji mke

Karne hii mke mwema ni mtihani ,mwanamke anavikoba kila mtaa 😎
 
Mungu na awasaidie. Nawatakia kila la kheri. Ndoa ni jambo jema.

Mkaijenge familia imara na itakayopendeza machoni pa Mungu.
 
Hapana miaka 24 mingi sana, mwaka mmoja tu wa ndoa unatosha
huwa kuna muda wa kujitafakari baada ya kupigwa matukio ndio maana nimeweka miezi 24.. akipita hiyo miezi 24 salama basi mjuba ataakuwa ameoa mke sahihi.. wanawake wengi ni vimeo.. ni wazuri wa maumbo na sura ila kichwani akili hamna. ukitaka kumpima mke uliyeoa kuwa ni sahihi pita kwenye nyakati za shida.
 
Nashukulu kwa hoja ubalikiwe sana.ila tangu mwanzo nilisema mke anaye jitambua sikusema mke mwenye matako makubwa au umbo namba nane au sura nzuri sana. Niiomba mungu anipe mke anaye jitambua hicho ndo kilikuwa kigezo namba moja hatimaye nimapata ,mengine namwachia mola wangu
 
Mwanamke mbaya kimuonekano ndo anaweza kukuvumilia nyakat za shida , mwanamke mzuri sanasana atakachokifanya kama amezaa na ww ni kubaki kwenye ndoa Ila ataliwa Sana nje hzo nyakat za shida zako
 
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana
si unitafute nina kamchango ndio na mimi niwe shareholder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…