Nahitaji Mke

Jasuma

Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
25
Reaction score
16
Naitwa Emason umri Wangu miaka 35, Elimu yangu Degree, Ajira yangu nipo serikalini, lakini pia nimewekeza katika business, situmii kilevi chochote, Mimi ni mkristo, pia nipo social sana, siyo kwamba najisifu ila najieleza uhalisia juu yangu.

Natafuta mke wa kuoa, na hii imetokea baada ya Mimi na mchumba wa kwanza kuachana Kwa makubariano kutokana na kuishi mbali mbali Leo hii ni miaka mitatu akiishi Sweden na Mimi nikiishi Tanzania.

Kwahiyo natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:
1. Awe na miaka kuanzia 20 Hadi 31.
2. Awe hajazaa na endepo amezaa basi asiwe na zaidi ya mtoto mmoja
3. Awe na Taaluma ya Elimu au Afya.
4. Awe maji ya kunde au mweupe.
5. Awe mkristo
6. Awe anajitambua na mwenye nia na maendeleo.
6. Asiwe mwenye Kila wakati anajenga hoja za matumizi ya pesa badala ya kujenga hoja za kutengeneza maendeleo.
7. Awe anajua thamani ya mwanaume.

Mwanamke mwenye sifa hizo na Yuko serious naomba uni-PM, Kama hauko serious usinichoshe nisikuchoshe kwahiyo tusichoshane pita kushoto, usiingie kwaajili ya kunijaribu Huu Uzi ni Kwa mwanamke ambaye Yuko tayari katika uchumba au kuoana.

Nawasilisha.
 
Naomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE
 
Wewe ni Emason au Alex?
Natafuta Mchumba (mwanamke)
 


U can't be very social ukose mke mpaka uje jamii forums, watu social huwa karibu na watu wengi potential wanao socialize nao, hence chances, kama una uitaji kweli, basi kuna uzaifu unao.
 
U can't be very social ukose mke mpaka uje jamii forums, watu social huwa karibu na watu wengi potential wanao socialize nao, hence chances, kama una uitaji kweli, basi kuna uzaifu unao.
Huo ni mtazami wako.
 
Hapo mwishoni kumekuonesha tabia yako, una mipasho sana huyo mke mwenye taaluma ya elimu au ya afya mtawezana kweli!?

Nakushauri washirikishe wazazi/ndugu au

Hapana ni wa Paschal, unaona usivyo na akili? Nimeandika mimi, utakuwa mtazamo wa nani?
Pita kushoto brother siyo Kila unachokiona mtandaoni lazima u-coment.
 
Hapo mwishoni kumekuonesha tabia yako, una mipasho sana huyo mke mwenye taaluma ya elimu au ya afya mtawezana kweli!?

Nakushauri washirikishe wazazi/ndugu au kanisa lako.
Asante Kwa ushauri.
 
Makubariano....... mwandiko wa mwenye digiriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…