Deepwater
Member
- Nov 27, 2013
- 8
- 6
Nahitaji mke ambaye atakuwa tayari kupima Ukimwi,mimi nina umri wa miaka 44 nina watoto 2 na nimeajiriwa,ninaye muhitaji naomba awe na umri kuanzia miaka 39 mpaka 42,awe mfayakazi wa kuajiriwa au mfanyabiashara mwenye mapato ya kuridhisha,asiwe na watoto zaidi ya 2.Lengo la kuwa na kipato kinachoridhisha ni kwa ajili ya kumudu kuwalea watoto wetu.Atakayekuwa tayari ani PM tafadhali.