Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
Habari wanajamvi nahitaji mkopo nikuze na nipanue wigo wa masoko wa biashara yangu ya viatu vya kimasai.
maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa mzigo kwa wakati.
Nilihitaji mkopo kwa ajili ya kununua vifaa ambavyo ni chereani na msasa(mota) pamoja na dagresheni ya urembo ambavyo vinakost sh 400000