Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
nipo dar temekeuko wap ndg ang tufanye biashara
1.Tafuta jina nenda kasajili brela km kampuni.Habari wanajamvi nahitaji mkopo nikuze na nipanue wigo wa masoko wa biashara yangu ya viatu vya kimasai.
maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa mzigo kwa wakati.
Nilihitaji mkopo kwa ajili ya kununua vifaa ambavyo ni chereani na msasa(mota) pamoja na dagresheni ya urembo ambavyo vinakost sh 400000View attachment 405473 View attachment 405478 View attachment 405473
mkuu je inawe kugarim kiasi gani kusajili kama kampuni1.Tafuta jina nenda kasajili brela km kampuni.
2.Fungua akaunti kwa jina la kampuni yako kupitis crdb au NBC
3.pesa inayopatikana kutokana na mauzo ya viatu ipitie benki,baada ya muda omba mkopo utakopesheka...
NB km unahitaji mwasheria wa kusimamia usajili wa kampuni yko brela ni pm namba zako.
Inategemea unataka kusajili kampuni ya mtaji wa kiasi gani...kuna chaji mpk ya laki 1 unusu.mkuu je inawe kugarim kiasi gani kusajili kama kampuni