Nahitaji mkopo ili nikuze biashara yangu

Daud Johnson

Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
41
Reaction score
14
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mjasiriamali ninafanya kazi katika ofisi yangu ambayo nimeianzisha mwenyewe maeneo ya chanika Dar es salaam.

Lengo haswa la kuja mbele yenu ninahitaji mtu abaye yupo tayari kunikopesha kwa makubaliano maalumu, yaani kwa mkataba pia kwa riba tutakayo kubaliana.

Biashara ninayoifanya inahusiana na vifaa vya ujenzi, kwa bahati nzuri mazingira niliyopo uhitaji ni mkubwa wa bidhaa kama vile Nondo pamoja, cement nk.

Uhakika wa kufanya marejesho ya mkopo ni mkubwa kwa sababu nina biashara inayozunguka na ni ya uhakika.

Utaratibu wa marejesho hata ukiwa kwa wiki au kwa mwezi nipo tayari kufanya hivyo kwani lengo langu kuu ni kutaka kukuza biashara yangu.

Kuhusu dhamana ya mkopo nina kiwanja/eneo lipo barabarani na ndipo ninapofanyia biashara. Pia kwenye kiwanja kuna frem2 pamoja na ofisi vyote hivi nipo tayari kuviweka kama dhamana ya mkopo.

Kiasi ninachohitaji ni Sh. M.3 hadi M.5

Kwa yeyote anayeweza kunipa ushirikiano karibu. Natanguliza shukrani.

Kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni, 0719913828.
 
Mtaji wa biashara yako sasa ni kiasi gani? Mauzo kwa mwezi yakoje.
 
Unaweza kuwatafuta material suppliers wakupe Mali kauli kila wakija unawalipa Kisha unachukua tena.
 
Ilikugharimu kiasi gani kuanzisha hii idea na uliianza mwaka gani?
 
Back
Top Bottom