JipuKubwa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 2,341 Reaction score 2,390 Feb 14, 2016 #1 Habari GT,naomba kwa anayefahamu taasisi za fedha inayokopesha pesa kwa dhamana ya ardhi,lakini siyo hati bali ni zile karatasi za mauziano na serikali za mitaa.Nawasilisha.
Habari GT,naomba kwa anayefahamu taasisi za fedha inayokopesha pesa kwa dhamana ya ardhi,lakini siyo hati bali ni zile karatasi za mauziano na serikali za mitaa.Nawasilisha.
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Feb 14, 2016 #2 na mimi nauliza. maana nikiwaza utaratibu wa hati wa miezi sita ishu zangu zitakwama.
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Feb 18, 2016 #3 zipo taasisi kama efl wanatoa sema shida kufuatilia nilisikia hata bank access na acb wanatoa