Nahitaji mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Nahitaji mkopo kwa dhamana ya kiwanja

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Bank gani inaweza kunipa mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja ambacho akijajengwa kipo Kibaha.
 
Bank gani inaweza kunipa mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja ambacho akijajengwa kipo kibaha.[/QUOT

Kama una biashara waone CRDB, NMB, ACB AU EQUITY BANK hao watakusaidia mkuu. bank hupenda kukopesha mtu anayefanya biasha ili kuweka uhakika wa kulipwa deni lao.
 
Kama una biashara waone CRDB, NMB, ACB AU EQUITY BANK hao watakusaidia mkuu. Bank hupenda kukopesha mtu anayefanya biashara ili kuweka uhakika wakulipwa deni lao.[/QUOTE]

Asante mkuu ila sina biashara
 
unakaa kibaha sehemu gani? mkuu ni pm ili nione kama linatatulika
 
=CHIKITITA;10433003]unakaa kibaha sehemu gani? mkuu ni pm ili nione kama linatatulika[/QUOTE]

Tayari nimekupm mkuu
 
Back
Top Bottom