Bank gani inaweza kunipa mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja ambacho akijajengwa kipo kibaha.[/QUOT
Kama una biashara waone CRDB, NMB, ACB AU EQUITY BANK hao watakusaidia mkuu. bank hupenda kukopesha mtu anayefanya biasha ili kuweka uhakika wa kulipwa deni lao.