Nahitaji mkopo kwenye kampuni inayokopesha/mtu binafsi kwa masharti nafuu na riba nafuu

Nahitaji mkopo kwenye kampuni inayokopesha/mtu binafsi kwa masharti nafuu na riba nafuu

Wanjiro

Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
51
Reaction score
109
Habari zenu wanaJamiiForums,

Ninahitaji mkopo kwenye microfinance institution au personal kwa masharti nafuu na riba ndogo nataka kuboost biashara yangu.

Kama kuna mtu anafahamu taasisi hiyo au huyo mtu binafsi naomba kuunganishwa nae.

Thanks!
 
Ngoja waje...ila kuna amabao wanapita maofisini wanakopesha kulingana na salary ya mtu
 
Tatizo la wakopeshaji binafsi ni riba kubwa na muda mfupi wa marejesho. Kwa upande wa bank tatizo ni masharti magumu na longolongo nyingi kiasi kwamba hatakama ulihitaji hiyo pesa kimatibabu, itakuja kuandaa mazishi maana inachukua muda sana. Ila kama wewe ni mtumishi wa umma ni rahisi sana kukopesheka
 
Back
Top Bottom