Nahitaji mkopo mkubwa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
14,244
Reaction score
10,073
Kutokana kichwa cha habari hapo juu, kupitia ukurasa huu wa mjasiriamali, mwenye connection wa kupata mkopo mkubwa wa kufungua kiwanda kidogo(small scale) na mkopo mwingine wa kumalizia single storey kwa ajili ya biashara ya LODGE ila sihitaji microfinance banks coz wazinguaji...nahitaji mkopo ya muda mrefu kidogo,dhamana ninazo
 

okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

BUSIMINET COMPANY LIMITED

Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 0782 19 19 05

E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com

BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, School, Colleges, NGO's, Succoss and Company registration.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals
 
Mkopo mkubwa unaendana sambamba na Asset ambazo unazo,Kama Hauna asset za kutosha sahau kuhusu mkopo mkubwa
 

Kampuni ninayo ninachokihitaji hapo ni huduma no.4 na sana sana no.6
 
Tuwasiliane kupitia namba za simu tajwa hapo juu kwa maelezo na maelekezo zaidi.karibu sana.
 
Kama aset unazo kwanini usifuate benki huo mkopo? Au umekutana na tatizo gani?.
 
Kama aset unazo kwanini usifuate benki huo mkopo? Au umekutana na tatizo gani?.

Unajua kaka vitu vingine vinaenda kwa kujuana zaidi ili mambo yaende fasta...
 
Unajua kaka vitu vingine vinaenda kwa kujuana zaidi ili mambo yaende fasta...
Mleta mada unanitia mashaka.
Kwa jinsi Bank zilivyo hivi sana na dhamana za uhakika kama unazo.Haifiki mwezi unapewa pesa.
Issue ya kujuana kwenye Mabank tunapenda kuikuza sie tu,na wala haipo kiviile.
Inawezekana kwenye kujieleza na kuwasilisha maombi yako ndio ikawa tatizo hapo.
 
Nadhani mkopaji hana biashara kwa sasa na anategemea mkopo ili kumalizia hizo project zake. Nijuavyo hata ukiwa na dhamana kama huna biashara nivigumu kupata mkopo kwa mabenki sbb wao hawatoi pesa ya kuanzishia biadshara isipokua tib kama sikosei japo nayenyewe si kazi rahis sana. Ready kukosolewa
 
Nenda Equity Bank ni watu wazuri watakusaidia. Ukifanikiwa twambie kwenye forum. Ukikwama pia twambie tukuelekeze zaidi.
 
Nenda Equity Bank ni watu wazuri watakusaidia. Ukifanikiwa twambie kwenye forum. Ukikwama pia twambie tukuelekeze zaidi.

Asante kaka, nitafanya ivyo,nitaleta mrejesho soon
 

Biashara ninayo, isipokuwa kila sekta siku izi kuna u monopoly
 
Kwenye kujieleza ila kubali ama kataa siku kila kitu ni connection
 
Bank zatafuta watu

Ipi iyo kaka?? Kuna jamaa kanishauri niende equity bank na nimeangalia packages zao za loan zitanifaa...nitawaletea marejesho
 
Kwenye kujieleza ila kubali ama kataa siku kila kitu ni connection
Mkuu badilika,ukiwa na imani kwamba kila kitu lazima ulishie basi utajikuta kwamba kuna vitu hufanyi kwa kuhofia hivyo.
Endana na kasi ya Dunia ya sasa kibiashara kamanda
 
Mkuu badilika,ukiwa na imani kwamba kila kitu lazima ulishie basi utajikuta kwamba kuna vitu hufanyi kwa kuhofia hivyo.
Endana na kasi ya Dunia ya sasa kibiashara kamanda

Asante kwa ushauri kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…