Nahitaji Mkopo nina dhamana ya shamba

Nahitaji Mkopo nina dhamana ya shamba

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
442
Wakuu,
Nina shamba la ekari 200 lenye hati miliki huko wilaya ya Mkinga Tanga. Nahitaji kulilima shamba lote ila nahitaji mkopo kwa kutumia hati yake wa shilingi milioni 50. Ninachotaka mnisaidie hapa ni:

1. Je ni bank gani unaweza kunishauri niende ambako unajuwa kwa hakika nitasaidiwa kupata mkopo huu.
2. Je kwa mahala lilipo shamba na ukubwa huu wa ekari 200, naweza kupata kweli hizi mil 50 au unashauri nikaombe kiasi gani kama mil 50 ni kubwa sana?.
3. Nini ushauri wako juu ya hili wazo langu?.
 
Mkuu kwa ushauri tembelea benk mbili tatu kama CRDB,AZANIA,TIB n.k omba kuonana na meneja anayehusika na mikopo mweleze hii story yako uliyotueleza hapa utapata mwongozo mzuri zaidi
 
Nashukuru Mkuu.

Back
Top Bottom