Title deed pekee haikufanyi wewe upate mkopo.Kigezo kikuu na muhimu ni uwezo wako wa kulipa deni na riba. Sasa umesema title deed ina miaka 33 je biashara yako ina miaka mingapi? je mapato yako kwa mwezi kiasi gani? je matumizi yako kiasi gani? je unahitaji kiasi gani? Hiyo nyumba au kiwanja chenye hiyo title kimeshafanyiwa valuation ? je thamani kiasi gani?