ayman makoye
Member
- Jan 3, 2017
- 13
- 33
Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka jana (Bachelor of education with science) , Sasa nimeamua kujiajiri, Nimekuja na wazo la kuanzisha tuion center kwa hapa Arusha...
Naomba msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.
Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Arusha. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.
Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakika nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.
Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,
Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)
Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.
Ombi langu
Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.
Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.
Garama zake ni.
Vyumba 2 @ 50000 kwa miezi 2
Madawati 20 @ 15000
Vipeperushi 30000
Tafadhari sana.. Naomba tuwasasiliane kwa Email
makoyeayman@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app