Nahitaji Mkopo ;Nina wazo la kuanzisha tuition center Arusha

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
13
Reaction score
33
Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka jana (Bachelor of education with science) , Sasa nimeamua kujiajiri, Nimekuja na wazo la kuanzisha tuion center kwa hapa Arusha...

Naomba msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.

Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Arusha. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.

Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakika nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.

Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,

Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)

Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.

Ombi langu

Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.

Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.

Garama zake ni.

Vyumba 2 @ 50000 kwa miezi 2

Madawati 20 @ 15000

Vipeperushi 30000
Tafadhari sana.. Naomba tuwasasiliane kwa Email
makoyeayman@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mwalimu haujui kuandika tuition au umepitiwa tu?!! Kwenye kichwa cha Uzi umekosea, nkajua bahati mbaya, kuja kwenye utumbo wa Uzi ukakosea pia.

Sijui labda...... .
 
Wazo zuri, unataka ufanyie Arusha maeneo gani?
 
Kuwa na kituo cha private candidates si lazima uanze na usajili kwanza au?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba usome email nimekutumia muda sio mrefu ili tuwasiliane
 
Mkuu kuna kitu naomba unisaidie kufafanua.
Tuition Centre unataka kufungua Arusha. Vipeperushi uvisambaze maeneo ya jirani ajabu unataja Njombe na maeneo mengine!!
Kama ni Arusha embu toa details za sehemu unayotarajia kufungua ili kama inalipa tuweze kujadiliana.
Arusha naijua vizuri.
 
Jaman Ambao bado tupo chuoni tujifunze namna ya kutumia ma boom yetu Kuna maisha baada ya Chuo ila ukiwa bado chuoni unaweza ona Kama Maisha Ni rahis Sana Basi tengeneza Maisha yako angali bado upo Chuo utafarh pale utakaporudi kitaa..Namshukuru mm mungu tayar kashaniionyesha njia sahihi ya kunikomboa na tatizo la ajira na nashukru inaendelea kunipa mwanga wa future yangu.. Basi Kama na wewe bado upo chuoni tengeneza Maisha yako Sasa ukitaka ushauri wa Nini ufanye ukiwa bado chuoni check me p.m nikupe ushauri wa nn ufanye. Do something to day that your future will thank you for.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko Arusha Haya maeneo ni jirani na wapi vile:Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…