Nahitaji mkopo wa 2,000,000 kwa dhamana ya kadi ya gari, gari namba D ya karibuni

Nahitaji mkopo wa 2,000,000 kwa dhamana ya kadi ya gari, gari namba D ya karibuni

msimamia kucha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
683
Reaction score
551
Wadau habari za kazi, naweza pata mkopo tajwa hapo juu ndani ya kuanzia miezi sita mpaka mwaka marejesho.
 
Gari ndio liwe dhamana kadi baki nayo wewe, muda wa mkopo miezi 12 riba 20%

Kuandikishiana kwa mwanasheria au mahakamani.

If you are interested come to my pm.
 
Ndo hivyo kadi anaweza kwenda tra kuriport imepotea ukabaki na manyoya
Mkopeshaji keshapatkana so hapo ilobaki ni makubaliano ya kisheria kulinda haki za pande zote mbili!
nb: Kabla hujakopa ni vizuri kufanya tathmini ya namna utakavyoweza kutoka kwenyemkopo huo!
 
Gari ndio liwe dhamana kadi baki nayo wewe, muda wa mkopo miezi 12 riba 20%

Kuandikishiana kwa mwanasheria au mahakamani.

If you are interested come to my pm.
Kwema mkuu
 
Gari ndio liwe dhamana kadi baki nayo wewe, muda wa mkopo miezi 12 riba 20%

Kuandikishiana kwa mwanasheria au mahakamani.

If you are interested come to my pm.
Ndugu ww unakopesha?
 
Wewe ukitaka hivo weka gari sio kadi, sasa utapata wapi uchungu wa kurudisha pesa km gari unaendelea kula nalo bata!!
 
Ndiyo wale wale wanaotaka kukopa hela kwa kuweka eti dhamana ya vyeti vyao vya kitaaluma! Sasa mkopeshaji atavifanyia nini iwapo mambo yataenda tofauti!

Na bado mtu unaweza kutoa taarifa polisi ya kwamba vimepotea, na hivyo kuendelea na michakato yako mingine.
 
Wengi hua wanataka gari Kama Unaweza kuweka gari njoo dm nikupeleke sehemu
 
Back
Top Bottom