BrazakakaBura
Member
- Feb 16, 2017
- 88
- 104
Hongera sana BrazakakaBura maana umepiga hatua sana! nafarijika kuona hustle kama hizi na unawapa watu mzuka wa maendeleo binafsi. All the best kiongozimimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili IFM,, kutokana na changamoto za kupanga nikajiweka nikanunua kiwanja chanika na baadae kidg nikaanza ujenzi sehem iliyobakia ina bajeti ya wastani wa 2m hivyo naomba mwenye kumjua mtu anaetoa mkopo anisaidie tafadhari nitamlipa kutoka kwenye installment zangu za boom kwa kila boom nitarejesha 400k . Naombeni ushirikiano wenu wakuu [emoji120][emoji120]
Sent from my iPhone using JamiiForums