Resi
Member
- Aug 29, 2007
- 73
- 17
WanaJamii, habari za jioni.
ninahitaji mkopo wa kiasi cha 10m - 15m hivi. Ninayo plot katika manispaa, chenye hati ya manispaa Morogoro. Naomba msaada wa kujua namna ninavyoweza kupata mkopo wa kiasi kilichotajwa. Mabenki wamenizingua tu. Nahitaji kujua kama kuna taasisi (siyo benki) au watu binafsi wanaoweza kunisaidia. Aksanteni.