Kiwanja chenyewe hicho hakifikii thamani ya mkopo.Morogoro bado saaana
Sasa bora uuze kiwanja kisha ufanye yako.
Bank sio kwamba wamekuzingua,ila umetaka njia ya mkato,sio kila kitu kuilamu Bank,hakuna mtu au bank inaweza kutoa pesa kihuni au kama mtu unavyotaka wewe.
We unasema Bank wanazingua wakati wenzako anachukua,we unakuta mtu ana dhamana ya mali ya 4m anataka 15m,we nani atakubali.