Bora unitumie nikanunue kwa njia inayojulikana
Sijawahi ona king'ang'anizi kama wewe, daaa basi nitakutumia kwa njia isiyojulikana maana mwenyewe ni mtu usiyejulikana ili ukanunue kwa njia inayojulikanaBora unitumie nikanunue kwa njia inayojulikana
Nakung'ang'ania sababu wew Jana ndyo ulieniombea hadi nikaokona na mpango huo nilikuwa sina kwa miaka ya karibuniSijawahi ona king'ang'anizi kama wewe, daaa basi nitakutumia kwa njia isiyojulikana maana mwenyewe ni mtu usiyejulikana ili ukanunue kwa njia inayojulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa basi, usirudie kutenda dhambi pesa itakufikiaNakung'ang'ania sababu wew Jana ndyo ulieniombea hadi nikaokona na mpango huo nilikuwa sina kwa miaka ya karibuni
Naomba ifike Leo Leo maana nataka jioni nikanunue alfu usiku nianze kupitia neno