Nahitaji mkopo wa fedha kwa ajili ya biashara

grgkennedy103k

New Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Habari za saa hizi waungwana,
Naomba kwa anayejua wapi naweza kupata mkopo wa biashara kwa kutumia dhamana ya kiwanja anielekeze.

Asante
 
Nenda tala watakusaidia ai sacos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…