IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Hello wadau,
Nina uhitaji wa mkopo wa fasta SH 1.8 M (Milioni moja na laki nane), riba isizidi 20% kwa miezi miwili. Nahitaji mkopo huo kwa kibiashara kwa Dhamana ya Gari yangu, ambayo naiuza kwa 4.5m (Mitsubishi Lancer, cc 1597, milage 149,350km, blue, 1 litre/13km, bado iko vema). Ukitaka kununua poa, ILA zaidi nahitaji mkopo kabla ya tarehe 23 Octoba hii. Mwenye PESA hiyo tufanye biashara hii, niko Mbeya mjini, kama uko nje ya Mbeya, kama Dar, nina uwezo wa kuja nayo nikakuachia huko. utaweza kukagua gari kabla ya kuchukua kama dhamana.
Call 0652 656565 au niPM.