Nahitaji mkopo wa haraka (express credit)

chinga4

Senior Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
131
Reaction score
57
Ndg zangu,

Naombeni mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu. Nina kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
 
Ndg zangu naombeni , mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu nna kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
Uko serious..?
 
Vikoba mkuuu hauna kikoba au Saccos???
 
Sema kiasi na dhamana mi nakupa
Ila dhamana izidi kiasi unachochua ili usiporudisha sina hasara
 
Nenda atlas microfinance..wako round about ya mlimani city. Jengo la mwenge tower floor ya nne. Mkono ni within lisaa limoja. Sharti lao ni uwe na dhamana mfano wa gari, flat screen, laptop au chochote kile kinachouzika. Wanabaki na dhamana yako mpaka utakapolipa deni lako. Kila la heri
 
Ndg zangu naombeni , mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu nna kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
Unataka wa ujazo gani.? 1lt au kuanzia 10lt.
 
Jamanii naomba mtu unisaidie mkopo wa haraka then nitarudisha kwa mwezi moja au Kuna sehemu ya kukopa haraka please I need feedback help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…