Nahitaji mkopo wa haraka kwa dhamana hii

Nahitaji mkopo wa haraka kwa dhamana hii

Paroco

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
2,389
Reaction score
10,595
Wanabodi habari!
Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mkopo Personal wa Tsh Milion 1 kwa Makubaliano yeyote Yale.
Dhamana yangu ni kiwanja kilichopo Kwa Mwangosi huku kwa Wanyalukolo.
AU
kwa anayehitaji kukinunua tuwasiliane.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom