Nahitaji mkopo wa haraka Tshs. 2,000,000

Nahitaji mkopo wa haraka Tshs. 2,000,000

JGimbuya

Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
16
Reaction score
15
Wasalaam

Mimi ni muhitimu Bachelor wa fani ya IT. Nimeajiriwa na kampuni binafsi iliyopo Dar es Salaam since 2019. Nina mkataba wa kudumu.

Nahitaji mkopo wa kiasi cha Tshs 2,000,000 kuna project nahitaji kuifanyaa kwa uharaka. Nitawezaa kurudisha ndan ya muda wa miezi 7, kwa riba ya 20% ya mkopo.

Mdhamini ni kampuni ninayofanyia kazi na mkataba nilionao na kampuni.

Hivyo unaweza kufika ofisini tukazungumuza zaidi au nikaweza kukutembelea wewe mahali ulipo



Asante
 
Kwanini usiombe huo mkopo uko ofisini kwenu? Kama una mkataba wa kudumu kwanini usiende kwenye taasisi za fedha kukopa? Kwanini utumie muda mrefu (miezi 7) kulipa M2 tu? Kipato chako kikoje? Wewe unaweka nini kama dhamana..?
 
Taasisi yaa fedha zina option ya personal loan kwa waajiriwa mfano crdb na nmb ila riba zao ziko juu kidogo ndoo maana nimeonaa nijaribu kwanza kwa namna zingine nikikwama nitakuwa sins namna kuzitumia izo
Nimeweka miez 7 niwe flexible hizi kampuni binafsi hazina mishahara mikubwa kiivo mku
 
1.kampuni huwa inakopesha wafanyakazi wake lakini inakopesha kwa awamu,kuna wenzangu wamekopa adi wamalize marejesho apo ndoo nitaweza kukopa ndoo maana nilianisha naitaji mkopo kwa uharaka
2.dhamani niliaanisha kuwa nitatumia mkataba wangu kama dhamana (kutakuwa na makubalino kati yangu,kampuni na mkopeshaji)
3.kipato changu siyo chini ya tshs 400,000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom