Kama wewe ni mfanyakazi, nenda jengo la CCM karibu na kastamu ghorofa ya pili upande wa kushoto utaona kibao kimeandikwa mikopo rahisi; wanahita recent salary slip moja, bank statement; kitambulisho cha kazi na picha mbili. wanakupa mkopo ndani ya siku tatu.Wakuu heshima kwenu
nahitaji mkopo wa haraka wa sh 10m dhamana gari na kadi yake
nipo mwanza
ahsanteni
Kama wewe ni mfanyakazi, nenda jengo la CCM karibu na kastamu ghorofa ya pili upande wa kushoto utaona kibao kimeandikwa mikopo rahisi; wanahita recent salary slip moja, bank statement; kitambulisho cha kazi na picha mbili. wanakupa mkopo ndani ya siku tatu.
Mkuu ahsante sana kwa information!tafika pale,wanaitwaje??Kama wewe ni mfanyakazi, nenda jengo la CCM karibu na kastamu ghorofa ya pili upande wa kushoto utaona kibao kimeandikwa mikopo rahisi; wanahita recent salary slip moja, bank statement; kitambulisho cha kazi na picha mbili. wanakupa mkopo ndani ya siku tatu.
Mkuu ahsante sana kwa information!tafika pale,wanaitwaje??
Thankd
Hilo gari ni aina gani unalotaka kuliweka kama dhamana. Isije ikawa ni kimeo.