Nahitaji mkopo wa haraka

Nahitaji mkopo wa haraka

Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane
0748469897
Mkopo wa fedha unatolewa benki na kwenye taasisi za kifedha za watu binafsi, na zilizoinishwa na BOT!

Na mkopo huo huambatana na riba kubwa, huku na wewe mkopeshaji ukitakiwa kuwa na dhamana mfano nyumba, kiwanja, gari, nk. ili ukishindwa kurejesha huo mkopo; dhamana uliyoweka itauzwa na hivyo kufidia mkopo wako.

Nje ya utaratibu huu, huwezi kupata huo mkopo kirahisi tu.
 
20250110_195521.jpg
 
Back
Top Bottom