Nahitaji mkopo wa haraka

Kama bado ujapata na una dhamana ya gari njoo dm nikuelekeze mtu atakupa,au mie unipe gari nikupe hela ukirudisha hela nakupa gari yako bila riba.
 
Hakuna bank inaweza kutoa hela haraka, hela ya bank in mlolongo mrefu mkuu ,hela ya bank siyo mali ya mtu lazima ipitie approvals nyingi hadi iingie kwako
Aungane na mama/baba mstaafu anaepokea pension bank haimuwekei mlolongo mrefu inampa mkopo chap anaishi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…