Jamani mwezenu na hitaji kupata mkopo kwa ajili ya kufanyia biashara, taasisi zote za mikopo ninazo zifahamu zina mashariti ambayo yananibana nishindwe kukopesheka. Tusaidianeni wadau, ukiona kuna taasisi ambayo unajua ina mashariti yanayo tekelezeka na kumfanya asiyekuwa na mali zisizo hamishika akopesheke, basi naomba mniambie. Mimi ni Radio Presenter by professional ila napenda zaidi kuchakarika na kuwa na njia zaidi ya moja ya kuingiza kipato. Nahitaji msaada wenu