Wanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
Yaani wewe ndio ufuatwe pm duuinawezekana ayajajitosheleza mkuu njoo pm nikutosheleze
pengine
Aya subiri utafuatwamimi ndio
Sasa hao wanakaa huku JF kweli?mkuu iyo ni ela ya mfukoni kwa wenye nazo