Wanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
mashart ayo lugumi anayawezaDuh
Una nyumba kwenye kiwanja chenye hati?Nyumba yenyewe iwe Dar maeneo ya mikocheni,masaki,mbezi beach,kunduchi au mbweni!
Kwingine sitaki..
Nyumba iwe na thamani ya milioni 500.
Tufanye transfer kabisa! Nakupa 100 na tunaweka tarehe ya kikomo!Ikivuka saa nne kamili mali si yako..
Na kwenye huo muda kila mwezi interest ni 30%,na inakua compounded kwa miezi consecutively...
Na hela haikai zaidi ya miezi sita!
Ukiwa tayari niPM!
mashart ayo lugumi anayaweza
teh teh teh aise Mdau umefunga kazi.3mzuka wana droo ya 220M mkuu jaribu bahat yako
Hahaaaaaa.....
Sasa hao wanakaa huku JF kweli?
Hebu iweke ya kingereza pengine itasound vizuri zaidi kujiinspireUmenikumbusha meme moja hivi yakitambo.,. "Huwezi kuta tangazo la FERRARI au LAMBOGHIRNI kwenye tv kwasababu watu wenye uwezo wa kununua hizo gari hawana muda wa kuangalia tv" 😀😀😀 nimejaribu kuweka kwa kiswahili!!!
Kama una dhamana isiyopungua 200milion,nitafute.Wanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
njoo uchukueWanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
Be serious man, hapa kazi tu.njoo uchukue
no time for jocking! it is business and if you don't pay back ujue huu sio muda wa kupotezeana fursa kijinga wewe na familia mtahamia kekoBe serious man, hapa kazi tu.
CRDB wanakopesha hadi 50m bila riba
andika na mchanganuo wa biashara unayotaka kufanya ushauriwe kabla hatujakufunga kwa kukosa maarifa.shida wakati mwingine sio mtaji tuWanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
Siyo vizuri kumfanyia mwenzako ujambazi. Kwa masharti hayo dhamana yake inakwenda na maji na sumu itamhusuDuh
Una nyumba kwenye kiwanja chenye hati?Nyumba yenyewe iwe Dar maeneo ya mikocheni,masaki,mbezi beach,kunduchi au mbweni!
Kwingine sitaki..
Nyumba iwe na thamani ya milioni 500.
Tufanye transfer kabisa! Nakupa 100 na tunaweka tarehe ya kikomo!Ikivuka saa nne kamili mali si yako..
Na kwenye huo muda kila mwezi interest ni 30%,na inakua compounded kwa miezi consecutively...
Na hela haikai zaidi ya miezi sita!
Ukiwa tayari niPM!
acha uongo,, wakikopesha bila ya riba watapata hasara. na hapo bado huja consider risk of default.CRDB wanakopesha hadi 50m bila riba
Siyo vizuri kumfanyia mwenzako ujambazi. Kwa masharti hayo dhamana yake inakwenda na maji na sumu itamhusu