Mpendasifa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 277
- 110
Wakuu nahitaji mkopo wa milioni mbili kwa muda wa miezi miwili,dhamana ni kadi ya Gari . Anayeweza kunisaidia tuwasiliane
Wakuu nahitaji mkopo wa milioni mbili kwa muda wa miezi miwili,dhamana ni kadi ya Gari . Anayeweza kunisaidia tuwasiliane
Gari ina thamani gani? Na je huwezi kwenda kuripoti police kuwa umepotelewa na card ya gari? Hapo mi naona dhamana iwe ni gari yenyewe tena kwa maandishi na mhuri wa wakili!
Naweza kwani upo wapi?? Na je upo tayari tukaandikishane mahakamani??
Mkuu gari ina thamani ya milioni 11, siwezi kufanya hicho kitu na tunaweza kwenda pamoja mpka TRA ili kueza kujihakikishia kuwa hicho kitu hakiezi kufanyika. Hiyo Gari ndo naitumia kwa mihangaiko ya kutafuta pesa ,sasa nikiiiacha inakuwaje tena
All the best ndg yangu ufanikiwe!