Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Nashida ya milion 5 wapendwa naeka gari dhamana la aurius Toyota
Nawasirisha
Nawasirisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda bankNashida ya milion 5 wapendwa naeka gari dhamana la aurius Toyota
Nawasirisha
Wenye pesa zao watukuja kukuuliza kwamba wewe ni Me au Ke...??Nashida ya milion 5 wapendwa naeka gari dhamana la aurius Toyota
Nawasirisha
Sawa nawasubiriaWenye pesa zao watukuja kukuuliza kwamba wewe ni Me au Ke...??
Baada ya hapo wata taka kufaham yafuatayo:-
Picha ya gari...
Kadi ya gari...
Unaishi wapi...
Kitambulisho chako...
Barua ya M/Kiti...
Picha zako mbili....