Wenye pesa zao watukuja kukuuliza kwamba wewe ni Me au Ke...??
Baada ya hapo wata taka kufaham yafuatayo:-
Picha ya gari...
Kadi ya gari...
Unaishi wapi...
Kitambulisho chako...
Barua ya M/Kiti...
Picha zako mbili....