Nahitaji mkopo wa milioni 8, narejesha milioni 10 ndani ya mwezi

upo sahihi kabisa
hakuna biashara itakayolipa 1m kwa mwezi sembuse 2m
na ukishaitoa ni kesi kila siku wakati Waziri Mpango KESHAKATAZA BIASHARA HIYO ISIYOLIPIWA KODI
Mkuu unaweza kunisaidia kunielekeza kwenye Saccos inayokopesha kisheria nikafanye nao kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, Good luck.
 
Mleta mada anaitaji kuelekezwa wapi akapate iyo pesa kwa bondi ya mafao
Haitaji ushauri wa wapi na kazi gani anaenda kufanyia pesa unless unamkopesha ndo ujue
 
Samahani wewe umewahi fanya biashara hapo nyuma? Hv mbona mnadanganyika namna hii??
Nimefanya biashara sana mkuu, ninachokufanya Nina uzoefu nacho kwa miaka zaidi ya 9. Zaidi ni deal na sio biashara that's why naweza kutengeneza faida ya milion 5 kwa mtaji wa milion 8 ndani ya wiki 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…