Nahitaji mkopo wa milioni 8, narejesha milioni 10 ndani ya mwezi


Hilo la mfuko wa hifadhihusingeliweka kama kinga kwani mifuko yenyewe imefilisika na upatikanaji wa hizo fedha unachukua muda mrefu ikiambatana na usumbufu kubwa
 
Mleta mada anaitaji kuelekezwa wapi akapate iyo pesa kwa bondi ya mafao
Haitaji ushauri wa wapi na kazi gani anaenda kufanyia pesa unless unamkopesha ndo ujue
Wewe ni mwelewa saana mkuu. Very smart and sophisticated. Nimekufurahia saana.
Kupata mtanzania mwenye uwezo wako wa kuchanganua na kuelewa mambo ni nadra saana wengi wao wameishia kukejeli na kukebehi biashara/deal nayoenda kufanya ambayo hawaijui potential yake katika faida. Ridiculous!

Bless.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la mfuko wa hifadhihusingeliweka kama kinga kwani mifuko yenyewe imefilisika na upatikanaji wa hizo fedha unachukua muda mrefu ikiambatana na usumbufu kubwa
Ni tofauti wale wastaafu ndio kidogo wana mlolongo ila sisi ni fasta tu sababu tunadai hela ndogo ndogo chini ya milion 20 tunalipwa kwenye branch tu za mikoa fasta.
Ila wastaafu ndio Wana mlolongo wa kwenda hadi makao makuu dodoma that's why wao inawachukulia muda but sisi ni conveniently and swiftly tunalipwa on schedule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nenda ukaongee na viongozi wa huo mfuko wakukopeshe
 
Nenda kwenye taasisi za fedha kama unalopesheka utapewa au kwenye hizi micro credit tofauti na hapo huwezi pata huku mtandaoni.
 
Ww una akili sana! Chungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…