Nahitaji Mkopo wa Milioni Mbili kwa riba

Nahitaji Mkopo wa Milioni Mbili kwa riba

mdoghosho

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
969
Reaction score
1,383
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
 
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
1) Uko tayari kutoa Riba ya Tshs/asilimia ngapi??
2) Uko tayari kuweka nini kama dhamana??
3) Uko tayari kugharamia Mwanasheria ili maafikiano ya huo Mkopo yawe kisheria ukishindwa kulipa basi dhamana iuzwe kulipia mkopo na Riba??
 
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...

Upo mkoa gani? Una kiwanja" kama upo Dar njoo tuongee kama una kiwanja
 
Back
Top Bottom