1) Uko tayari kutoa Riba ya Tshs/asilimia ngapi??Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
Upo mkoa gani? Una kiwanja" kama upo Dar njoo tuongee kama una kiwanja
Lakini kama unataka ndani ya 24hrs nenda platinum
kama huna inakuwa vigumu sana unataka riba kiasi gani?? unaweka bond nini?? uko mkoa gani?Sina kiwanja mkuu.... Sasa unanisaidiaje?
platinum sio kwa wafanyakazi tuLakini kama unataka ndani ya 24hrs nenda platinum
hapo riba aanze kutaja yeye!kama huna inakuwa vigumu sana unataka riba kiasi gani?? unaweka bond nini?? uko mkoa gani?
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app