Habari ndugu zangu humu ndani. Samahani nimepata tatizo la ghafla nilikuwa nahitaji kupata mkopo wa kuanzia milioni nne 4 wa dharura kwa yeyote mwenye kujua ni wapi naweza saidika kwa taasisi binafsi au mtu binafsi tafadhali naomba anisaidie kunielekeza, mimi nipo Mwanza