Hakuna benki karibu yako Mkuuu au financial insitituiona yoyoteSalaam, nimepata shida ghafla, naomba kwa yeyote anayeweza kunikopesha shilingi milioni tano kwa riba nafuu ndani ya miezi mitatu, dhamana hati ya nyumba. Nyumba ipo Sumbawanga mjini
halloowMtafute ONTANARIO atakusaidia hizo million 5 anaingiza kwa masaa ma 4 tu