Nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida

Nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida

Joined
Sep 8, 2018
Posts
84
Reaction score
67
Wakuu habari, nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida iliyonikaba sasa, narudisha baada ya miezi mitatu Kwa riba nafuu nitakayoambiwa, dhamana ni kiwanja cha sqm 1000 kipo Kigamboni mwasonga. Nitashukuru kwa kila jibu nitakalopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...weka hadharani nikupigie. inbox sitakupigia kulinda ID yangu
 
Back
Top Bottom