Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
Haya 0627748402Write your reply...weka hadharani nikupigie. inbox sitakupigia kulinda ID yangu
kuwa makini mkuu wengine hulogezea ushindwe kulipa iwe yake hiyo mali!Kila ukitaka kulipa mazonge yanazidi mpaka unagombana na mkopeshaji.
Nikweli mkuu mleta mada atakuelewa unamaanisha nini, hayo yapo sana hata huku yapo sanakuwa makini mkuu wengine hulogezea ushindwe kulipa iwe yake hiyo mali!Kila ukitaka kulipa mazonge yanazidi mpaka unagombana na mkopeshaji.
kuwa makini mkuu wengine hulogezea ushindwe kulipa iwe yake hiyo mali!Kila ukitaka kulipa mazonge yanazidi mpaka unagombana na mkopeshaji.
Kuna mtu aligawa nyumba kwa style hii, kila akitaka kurudisha mkopo anapata shida zaidi ya ile mwanzo akajikuta nyumba inaondoka hivi hiviNikweli mkuu mleta mada atakuelewa unamaanisha nini, hayo yapo sana hata huku yapo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kirahisi rahisi tu mtu kakukopesha? watanzania wa dizaini hiyo walikufa na chief Mkwawa,jitahidi sana kusali kuzuia nia hovu ya kukichukua kiwanja chako