Nahitaji mkopo wa pikipiki

Nahitaji mkopo wa pikipiki

njumu za kosovo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
3,820
Reaction score
9,625
Umuofia kwenu.

Mimi ni muajiriwa wa serikali katika mkoa huu wetu Dsm, kutokana na changamoto za usafiri nimeona nijiongeze hata na tuk tuk kwanza, hivyo basi kama kuna kampuni inakopesha naomba tufahamishane na pia kama kuna mtu ana piki piki used anichek tuelewane kidogo kidogo nimpe ;note isiwe muundo wa hizi sanlg na fekon na iwe kuanzia Cc 150 na kuendelea
 
Vipi ulipata mkuu kama bado unauhitaji kuna kampuni ya wakenya wanajita Watuafrica wacheki wanakopesha pikipiki na bajaj
 
Back
Top Bottom