Kwa yeyote ambae yuko tayari kunikopesha milioni 2 kwa masharti yasiyo magumu tuwasiliane kwa namba 0782105526 na kabla hajatoa tukubariane jinsi ya kurejesha na kiwango cha riba. Kabla hajatoa pesa tukutane FERRY DAR kukiona chombo husika na baada ya hapo tuandikishiane. Kwa alie serious afanye hvyo kabla ya jumapili mana chombo kipo sokoni nami sitaki kukikosa.

una sh. ngapi tuongee?
Namna nzuri nilidhani muwe kama joint venture mkuu. Mathalani mdau mwingine achangie kiasi kama hicho mfanye biashara kwa pamoja nadhani it can better work!!
mimi ninazo ila kadi ya gari na gari lako vinabaki kwangu , lisiwe chini ya 10M forced market value,mambo ya boti hiyo juu yk sina haja ya kuiona.Riba 15%,loan period 1 yr,installment to be paid after 6 month upon signing of contract and number of installments 3
milioni 5 chombo kinauzwa milioni 7.
Kikizama chombo utalipaje deni, tuangalie na upande wa pili
kikizama baada ya wiki moja kabla ya kuanza biashara nani adaiwe.
Kwa yeyote ambae yuko tayari kunikopesha milioni 2 kwa masharti yasiyo magumu tuwasiliane kwa namba 0782105526 na kabla hajatoa tukubariane jinsi ya kurejesha na kiwango cha riba.
Kabla hajatoa pesa tukutane FERRY DAR kukiona chombo husika na baada ya hapo tuandikishiane. Kwa alie serious afanye hvyo kabla ya jumapili mana chombo kipo sokoni nami sitaki kukikosa.
mkuu wazo zuri sana boti inalipa ...mimi nishafanya jazi hiyo ila nlikuwa na boti ya faiber..sema nilianguka kibiashara kutokana na sababu fulani..
ila nta kupa # ya mzee mmoja ni fundi wa mashine za boti yuko feri hapi garage anaitwa rajab atakupatia fasta mkuu
kikizama baada ya wiki moja kabla ya kuanza biashara nani adaiwe.
mimi ninazo ila kadi ya gari na gari lako vinabaki kwangu , lisiwe chini ya 10M forced market value,mambo ya boti hiyo juu yk sina haja ya kuiona.Riba 15%,loan period 1 yr,installment to be paid after 6 month upon signing of contract and number of installments 3
yani mkopo wa milioni 2 nikupe kadi ya gari pamoja na gari yenye thamani ya milion 10 si bora niende bank. we kaa nazo wenye akili wamesha nicall na wengne wamenipm.