Nahitaji mkopo wa TZS 3.5M naweka gari ya 7M,kwa 10% kwa mwezi

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
WAKUU TAYARI NIMEFANIKIWA -ASANTENI!
Salaama wakuu, nahitaji mkopo wa TZS 3.5M naweka gari ya 7M,kwa 10% kwa mwezi.
Nazihitaji kwa miezi 2 tu.
Naomba mnishauri wapi naweza kuzipata.
Rakey
 
wadau watakuja hapa,but kuna vitu vya msingi,gari hiyo ina comprehensive insurance?cover ya shs ngapi?gari ya aina gani?unataka kufanyia nn hiyo pesa ili mkopeshaji awe confident hela itarudi,kimsingi ni mtu binafsi atakuposha na si benki.
 
Ungesema gari gani ya mwaka gani mileage kiasi gani na imeingia lini nchini cc ngapi transmission umeisajili kihalali ama magumashi na je hapo unapotaka kuiweka bond ni mara ya kwanza au bond ya pili. ungeweza kusaidiwa fasta mzee. manake siku hizi magumashi mpo wengi sana unakuta mtu analeta gari bond kumbe bond ya tatu.
 
Mkuu,
Tutakupatia hiyo fedha kwa 20% ila hilo gari tunabaki nalo wenyewe hadi utakapomaliza kulipa. Kama uko serious call 0754 300 880. Gharama za wakili na mikataba tutafanya cost sharing kwa 50% each party.
 
Mkuu,
Tutakupatia hiyo fedha kwa 20% ila hilo gari tunabaki nalo wenyewe hadi utakapomaliza kulipa. Kama uko serious call 0754 300 880. Gharama za wakili na mikataba tutafanya cost sharing kwa 50% each party.
lol.ka-"deep" kapigiwa.jf raha.
 
jamaa yangu kaweka bond gari tangu mwaka jana november..alikopa 2m mpaka leo hakuna cha marejesho wala mkopo.....gari imehifadhiwa tu

akija kulipa tunampigia mahesabu ya kuifadh gari na riba..mbona ataliacha
 
fanye mipango mtaniona kwaitaji yakuandikishana nikiwa km mwanasheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…